Natafuta mchumba awe Bikira

Natafuta mchumba awe Bikira

Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
acha mzaha dogo!
 
Vgezo vingine bwn et awe mweupe mara asiwe anvaa suruali jaman kwa dunia hii au nyingne?
 
unajua hizo sifa hazina umuhimu kwa sana especially hiyo bikira now days kuna bikira za kichina wandugu
 
ukimpata mwenye sifa zote hizo niambie na mie nitafute humu, sifa zinajikontradict. (Mwalimu mfanyabiashara za kusafiri; biashara za kusafiri asiyevaa suruali) LABDA!!!
 
Kwa kifupi unatafuta ''imaginary person'', yaani unaweza kumuumba hivyo kimaandishi but not ''real existence of her''
 
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazoAwe bikiraUmri: 22-28Awe Muaminifu na mcha MunguHajatoga masikioAwe mweupeAwe na Elimu inayozidi form 4Awe mwalimuAwe hapendi kuvaa surualiAwe hapendi kuvaa mawigiAwe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumbaAwe tayari kuwa locatedAwe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoanaAwe anapenda watoto waisopungua 4Awe anapenda kupikaAwe anapenda kufanya biasharaAwe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHDAwe tayari kusafiri kibiasharaHizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwaNashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
Chukua udongo, finyanga kisha tengeneza mfano wa huyo mwanamke umtakae, kisha jipopotoe mbavu yako moja iweke humo ndani. Pulizia huo mdoli wako ili nawenyewe upate pumzu, alafu ufunikie kwa siku saba utampata huyo umtakaye.
 
Kaka ukimpata wa hvyo nish2tue maana lazima atakuwa na rafiki zke wa aina hyo na mi nntawapa.
 
Awe bikira wa nini?????Maana ziko za aina nyingi.

Haswaa , maaana wengine wana za barazani tu, uwani hawana. wako wengine wana za uwani barazani hawana. Na wengine zooote hawana.....ss sijui anataka yupi?
 
Je shida yako ni bikra au mke mwema? Nenda pemba kama shida yko ni bikra.
 
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
holy crap..............
 
Hahahahah labda kama umeweka post hii kwa ajili yakujifurahisha uko sawa, tofauti na hapo ni malaika tu ndo unaweza kumpata mwny vigezo hvyo.
Mara elimu mwisho form four mara awe tayari kusoma mpaka phd mmh?!
 
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate

Mbona umesahau kuongezea awe hapendi kuvaa chupi na pia kupenda kulala bila nguo!? Hii bikra unayoitaka ni bikra ipi? maana siku hizi ziko za aina nyingi kama vile za kichina, kizungu na hata za kiarabu pia. Kila la heri katika juhudi za kumpata mwenzi wako wa kufa na kuzikana.
 
Back
Top Bottom