Usijali utampata...ila punguza vigezo basiNatafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
MhAsante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.
Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.
Unaguna nini mamdogo?
Hapo chachaWatakuja ila huo umri wa kuanzia miaka 32 alafu asiwe na mtoto mmmh omba mungu asee
Ni kweli, vigezo vikiwa vingi wenye sifa wanapungua.Mungu akusaidie kwenye hitaji lako ila naona ungesema tu mwanaume mkristo kuliko awe n Roman Catholic
umri ukishaenda msiweke masharti mengi jamaan mnawakimbiza wanaume
Kaka Daby ShikamoAsante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.
Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.
bamdogo si kwa sala uliyomtolea mleta madaUnaguna nini mamdogo?
sbbu sisi wanawake tupo wengi kuliko nyieNi kweli, vigezo vikiwa vingi wenye sifa wanapungua.
Kwa nn wanaohitaji waume ni wengi Kuliko wanaohitaji wake? Reasons please......