Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani

Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani

Asante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.

Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.
Hhahahhaaaaaaaa
 
Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
Walio serious hawatafuti waume kwenye mitandao afu unaweka masharti utadhan ubalozi Wa US ukiendelea hivyo sahau kuolewa
 
Yaani hapo nimeambulia ku-match kwenye ambae hajawahi kuoa.
Daah, nifikirie na mm[emoji21] [emoji21]
 
Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
Specifications zako nime overqualified
 
Mungu akusaidie kwenye hitaji lako ila naona ungesema tu mwanaume mkristo kuliko awe n Roman Catholic

umri ukishaenda msiweke masharti mengi jamaan mnawakimbiza wanaume
Yani shunie banah ni mtu wa point tu wewe,nakupenda bure shemeji yangu msalimie lee empire mwambie akutunze sana bado tunakuhitaji sana
 
sbbu sisi wanawake tupo wengi kuliko nyie
mpk kuja kutafuta mume mtandaoni ushafika 30 na kuendelea masharti ya nn wanakosea sana kikubwa kingekua tu ni dini yako bas
Una gonga point safi tumsifu yesu kristo muumini wangu
 
Back
Top Bottom