Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani

Asante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.

Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.
hahahaha haya maneno[emoji12] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
Nawe ubarikiwe upate hitaj lako ,ila hata kama mtu yu tayar japo kapungukiwa na vigezo baadhi fikiria mara ya pil
 
Mi nadhani angepata penzi kama la beberu na mbuzi mee.... Au unadhani yeye hapendi kunuswa papuchi??
kunuswa papuchi ndio kupoje babu halaf natamani nikuite jina ambalo haulipendi
kuna siku kuna mdada alikuita hivyo ukamwambie niite babu tu we hujui mm naitwa babu
 
Wadada bhana ukiwatongoza live wanaringa kweli!
Then JF wanakuja kugawa opportunity, kweli wadada hawajui nini wanakitaka!
Sasa mrembo me Roman Catholic mwenzako njoo PM serious.
Nakusubilia
 
Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
More details about you
 
kunuswa papuchi ndio kupoje babu halaf natamani nikuite jina ambalo haulipendi
kuna siku kuna mdada alikuita hivyo ukamwambie niite babu tu we hujui mm naitwa babu
Hahahaha acha zako mkuu...
 
kila la kheri,nakushauri tu umuombe Mungu akupe mume mwema haijalishi atatoka wapi
 
Sasa mpaka akiwa mume we si utakuwa bibi? Kwanini usianze na wa 27 ili akifika 30 akuoe.
 
ahhhaha mdada alikuita mkuu babu ukamwambia hilo jina silipendi hujui mm naitwa babu ila we mzee sio mzima
Kweli mi sio mzima. Nimetahiriwa vizuri kabisa...
 
Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
Check na KALLISTO,mwaweza kuyajenga maana naona anasifa uzitakazo.
 
Back
Top Bottom