Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani

Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani

Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
Njoo uchukue huyu wangu😀
 
Yani shunie banah ni mtu wa point tu wewe,nakupenda bure shemeji yangu msalimie lee empire mwambie akutunze sana bado tunakuhitaji sana
nakupenda pia baba paroko, salam zimefika kwa lee hahhahah eti anitunze sana bado mnanihitaji baba paroko ww
 
Asipokutunza basi atakua ametupotezea ngao jf,tena asijaribu hata kuinua mkono kukutisha anakishusha[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] si kwa yule haogopi vitisho
 
Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
Dada Mume wa mtandaoni utamuweza?
 
Asante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.

Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.
Mi nadhani angepata penzi kama la beberu na mbuzi mee.... Au unadhani yeye hapendi kunuswa papuchi??
 
Back
Top Bottom