Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani

Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani

Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim na kujitambua nafasi yake(sio sharobaro) mwenye hofu ya mungu,na anayetambua maana ya familia, aliye serious na utayari aje PM, naomba usije kunidhihaki au kujaribu tafadhali niko seriousMungu awabariki sn
Na Je itakuwa vipi kama tusipobarikiwa?
 
acha nikuombee aje haraka mwenzi wako mkuu...!!!!
 
Asante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.

Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.
w kila siku nikuwatakia wenzako baraka lin utavuta jiko bab
 
Walio serious hawatafuti waume kwenye mitandao afu unaweka masharti utadhan ubalozi Wa US ukiendelea hivyo sahau kuolewa
Msaidie tu kumuelekeza mahala waume wanapotafutiwa, au wanapopatikana huenda hilo litamsaida badala ya kumsimanga!!
 
Asante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.

Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.
Uncle we ni mtata
 
Vigezo vyote ninavyo. Kabla sijaja PM naombe nijue kama una chura au flat screen!
 
Mbona wewe hujataja sifa zako ukoje??
Inaonesha wanaume ametuona tuna njaa sana na Mke sijui!!!!! Hajui sisi ndiyo tuna vigezo vingi kuliko vyake ??
Ana wowowo...? Nimweupe..? Make wengine hatuoagi Giza kabisa[emoji12] [emoji12] kutokana anavigezo vingi muulizeni anabikira asije kuwa ujana amekula na wengine halafu malekerwa atuletee sisi...!!
Halafu aliko amekoswa mwanaume a
Iiyemtongoza na anavyo hivyo vigezo asije akawa mwanamke hewa aaaa!!!!!
 
ROMAN CATHOLIC mpooo??
Kadi ikinifikia mchango nitatoa.
 
Asante saana ndugu kwa kutuombea ubarikio kwa bwana.

Nami nisiwe mnyimi wa fadhila nikutakie la kher upate mme wa hitaji la moyo wako. Akujaze furaha mpaka uhisi upo peponi. Akujaze mapene yasiyo haba na penzi kinda kinda lililojawa papatio kama lile la jogoo na mtetea. Asante.

Mtakatifu akukosea!!! Si kwa dua Ili Aseee
 
Punguzeni Vigezo Muolewe Khaaa!Mmetuumba Ninyi Ila Anyway Watakuja Wenye Hofu Ya Mungu Ila Kama Wewe Huna Hata Hofu Ya Mwili Wako Unavaa Uchi Uchi Sahau Kupewa Mtu Og Kama We Ni Fake.
 
Back
Top Bottom