Natafuta mchumba Bikra(ke)

Natafuta mchumba Bikra(ke)

Huku kwetu Dar, Bikra zishaisha kabisaa.
Zilibakia chache ndio amezimalizia Ticha Ayubu wa St. aFlorence hapo juzi juzi tu.
ungewahi labda ungeambulia
 
Kuna manzii angu bikira sure mimi ndo nimetoboa first na ninekula mara moja only anataka ndoa mimi naona mdaa bado anaweza kukufaa
 
Mambo vp? Hapa nilipo nipo Single ..nina miaka 25yrs natafuta mchumba wa kuoa.
Huyo bibie nataka awe na miaka 19-23...awe na sura nzuri...awe mkristo...Naahidi kukuoa kwa ndoa ya Kanisani endapo kweli nitathibitisha uko na Bikra yako...Mimi natoka Kahama-Shinyanga
0765 626 871
Bikra ya mbele, nyuma? Kama unatafta ya mbele hesabu maumivu!
 
Kwa umri wako na ndoa ya kikristo nakusihi tulia kwanza ufike 30yrs ndo unaweza kuoa binti wa umri huo na ukaweza kumvumilia masambasoti yake mana ww utakuwa ushaona mengi na busara ishaanza kujengeka kwako la sivyo owa wa umri wako tafadhari.

Ndoa zinazodumu kwa uhakika mkubwa ni tofauti ya miaka 7 hadi 10 kwa wanandoa.
 
Ahsanteh kwa ushauri wako
 
Nadhani bikira siku hzi zinatoka kabla mtoto hajaanza hata ngono yenyewe
 
Labda uzaliwe upya tena ndio utapata unaye mhitaji
 
Back
Top Bottom