Umbo la kiafrica 6/8 ndio lipoje? ebu weka kapicha kachaofanana na hilo umbo.Habari,
Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.
Wasifu wangu:_
Umri wangu ni miaka 30
Mkristu-RC(Mcha Mungu)
Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)
Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)
Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)
Urefu wa wastani 5’5”
Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person
Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.
wasifu wa mchumba mtarajiwa
-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative
Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.
Mbarikiwe.
Thank you!Kigezo cha umri kimenikosesha mke ,OK nakutakia upate mume bora.
okay,God bless you!Kwenye HIV hapo mbn wewe haujaweka status yako,jizi tu na wewe,afu unaonekana una amri,umri umekupanikisha..mkiwaga below 30 mna mbwembwe sana,dah asante MUNGU kwa kunileta mwanaume hapa duniani.
Google mwanamke wa size 6/8 atakuja,karibu.Umbo la kiafrica 6/8 ndio lipoje? ebu weka kapicha kachaofanana na hilo umbo.
kila la heri katika masomo yako.God Bless you.Daah wenye CERTIFICATE hapa sio Mahala pake .ngoja mwakani nikajiendeleze Diploma hatimaye Bachelor
Thank you.Mume umepata tayari
Ahsante!kila la heri katika masomo yako.God Bless you.
Ahsante kwa ushauri,tunatofautiana mahitaji ,hilo ni hitaji langu.Ubarikiwe.Kwani huko chuo hukuona wasomi wenzio mpaka uje kituambia unatafuta msomi
Mme sio elimu wala Mali
Mme ni yule anae kidhi vigezo vya kuwa Mme sio alie na elimu na mali
Na itakua tipwa tipwa huyu.Kwenye HIV hapo mbn wewe haujaweka status yako,jizi tu na wewe,afu unaonekana una amri,umri umekupanikisha..mkiwaga below 30 mna mbwembwe sana,dah asante MUNGU kwa kunileta mwanaume hapa duniani.
akija PM tutaelezana hilo,ahsante.Barikiwa.UMESAHAU kua awe na Nguvu za kiume. anaweza kuwa na yote kumbe hasimamishi mpaka apewe bosster na betri la meli au ana kidole cha mwisho cha mguu