Habari,
Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.
Wasifu wangu:_
Umri wangu ni miaka 30
Mkristu-RC(Mcha Mungu)
Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)
Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)
Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)
Urefu wa wastani 5’5”
Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person
Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.
wasifu wa mchumba mtarajiwa
-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative
Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.
Mbarikiwe.