Natafuta mchumba(future husband)

Natafuta mchumba(future husband)

Status
Not open for further replies.

Mspeasant

Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
54
Reaction score
50
Habari,

Mimi ni mwanamke wa kitanzania.

Wasifu wangu:_

Mkristu-RC(Mcha Mungu)

Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)

wasifu wa mchumba mtarajiwa

-Mcha Mungu
-Umri 27-36 yrs ol
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
*****uzi umefungwa msije PM.*****
 
Kwenye HIV hapo mbn wewe haujaweka status yako,jizi tu na wewe,afu unaonekana una amri,umri umekupanikisha..mkiwaga below 30 mna mbwembwe sana,dah asante MUNGU kwa kunileta mwanaume hapa duniani.
 
Kigezo cha umri kimenikosesha mke ,OK nakutakia upate mume bora.
 
Habari,

Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.

Wasifu wangu:_

Umri wangu ni miaka 30

Mkristu-RC(Mcha Mungu)

Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)

Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)

Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)

Urefu wa wastani 5’5”

Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person

Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.

wasifu wa mchumba mtarajiwa

-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative

Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.

Mbarikiwe.
Umbo la kiafrica 6/8 ndio lipoje? ebu weka kapicha kachaofanana na hilo umbo.
 
Kwani huko chuo hukuona wasomi wenzio mpaka uje kituambia unatafuta msomi

Mme sio elimu wala Mali

Mme ni yule anae kidhi vigezo vya kuwa Mme sio alie na elimu na mali
 
Kwenye HIV hapo mbn wewe haujaweka status yako,jizi tu na wewe,afu unaonekana una amri,umri umekupanikisha..mkiwaga below 30 mna mbwembwe sana,dah asante MUNGU kwa kunileta mwanaume hapa duniani.
okay,God bless you!
 
Kwenye HIV hapo mbn wewe haujaweka status yako,jizi tu na wewe,afu unaonekana una amri,umri umekupanikisha..mkiwaga below 30 mna mbwembwe sana,dah asante MUNGU kwa kunileta mwanaume hapa duniani.
Na itakua tipwa tipwa huyu.
 
UMESAHAU kua awe na Nguvu za kiume. anaweza kuwa na yote kumbe hasimamishi mpaka apewe bosster na betri la meli au ana kidole cha mwisho cha mguu
akija PM tutaelezana hilo,ahsante.Barikiwa.
 
Kigezo cha kua na Furaha kimeni disqualify maskini ya Mung....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom