Natafuta mchumba(future husband)

Status
Not open for further replies.
Sifa zote ninazo lakini hilo la Imani, Uchumi na Siasa nimepungukiwa sifa.
Nawatakia kheri wenye sifa stahiki.
 
aiseee bahati hizi na degree kabisa ila na ulokole wangu umeshanikosa hivyooo
 
Deadline ni pale nitakapompata,ntaweka update kwenye post yangu ya kwanza.
Karibu.

Dada unatafuta mume au nyumba ya kupanga? Nina hakika kwa umri ulionao uneshatongozwa na wanaume kadhaa na wengine wameshapiga mashine kabisa. Kama katika hao tena mpaka wa chuoni hujapata unayemtaka umeamua kuja huku kwenye mitandao kutangaza tender utakuwa na matatizo fulani au sura nzito. Hivyo vigezo utapata wanaume wa kulala nao kwa short time tu na sio mume. Kutafuta mume kwenye mitandao wakati huko unakoishi na kufanya kazi unakutana nao ni kama kuanika nguo kavu.
 
Nipo hapa njoo tuoane
 
Sawa,umesikika.Ubarikiwe.
 
Urefu wangu ni 5'6''. , Naamini huenda cjakidhi vigezo syo?
 
Ila mimi nina bahati sana kila mwanamke ninae mgonga nikimuacha lazima aolewe hilo limenitokea mara ya tano sasa..!..nahisi huwa ninaondoa nuksi...kuna shortcut.!
 
mkuu hawa mademu wakiwa chuo wengi wao wanaishigi na wanaume room moja Kama mke na mume kusema mwana chuo mwezi amuoe ni ngumu anakuja tafuta jinga mtaani
Kwani huko chuo hukuona wasomi wenzio mpaka uje kituambia unatafuta msomi

Mme sio elimu wala Mali

Mme ni yule anae kidhi vigezo vya kuwa Mme sio alie na elimu na mali
 
Kwa sifa hizo ungekua ushawekwa ndani siku nyingi
 
Hata Mimi siko tayali kuoa mke mwenye elimu maana wanasumbua sana na system yao ya haki sawa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…