Natafuta mchumba(future husband)

Natafuta mchumba(future husband)

Status
Not open for further replies.
Kwenye HIV hapo mbn wewe haujaweka status yako,jizi tu na wewe,afu unaonekana una amri,umri umekupanikisha..mkiwaga below 30 mna mbwembwe sana,dah asante MUNGU kwa kunileta mwanaume hapa duniani.

frustrations,utakua reject I mean jinsia hio ingine hawakupi attention,hata ujitahidi vipi,now umempata 'mwakilishi' wao umepata sehemu ya kutoa bitter frustrations zako….Mkuu miaka 30 sio mikubwa kihivyo,sijaona sababu ya kulishikia bango,lol just take it easy...………………………….
 
Huwa naonja,tena nikiwa nimeonja utafurahi Sana.Nikubalie basi.Tuna match tujenge family ma mama
 
Habari,

Mimi ni mwanamke wa kitanzania,natafuta mchumba atakayekua mume.

Wasifu wangu:_

Umri wangu ni miaka 30

Mkristu-RC(Mcha Mungu)

Nina Degree ya kwanza(kuna plani ya kujiendeleza)

Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu)

Nina umbo la kiafrika,(size 6/8,58-60Kgs),rangi yangu ni maji kunde(natural)

Urefu wa wastani 5’5”

Mimi ni mtu
-Ambitious
-kind hearted
-loves to learn
-Loves to help
-loves to cook
-Nerd
-Adventurous
-I enjoy outdoor activities (beach/yoga)
-Mpole
-Confident
- A very happy person

Niko tayari kusettle na kuanzisha familia.Naamini ndoa sio mwanzo wala mwisho bali ni muendelezo wa maisha with minor adjustments to accommodate the new person.

wasifu wa mchumba mtarajiwa

-Mcha Mungu
-mkristu(sio mlokole)
-Umri 27-36 yrs old
-Awe na Degree moja au zaidi
-Awe ameelimika(intellect)
-Open minded
-Urefu wake 5’8” au zaidi
-Awe na furaha
-Awe mkweli na mwaminifu
-Asiwe mlevi
-Awe na mwili wa wastani(bila kitambi-otherwise,awe tayari kuambata na na mimi gym 😵)
-Awe anajiweza kiuchumi(sijamaanisha tajiri,ila katika umri tajwa natumaini atakua amepiga hatua flani)
-Asiwe na itikadi kali za kisiasa
-Apende maisha na afurahie kuishi.
-Asivute sigara/ganja/pariki/ugoro etc
-HIV negative

Atakayeona tunafaana(kulingana vigezo tajwa ) karibu PM.

Mbarikiwe.
Awe na degree!!!! Itasaidia nn kwenye ndoa yenu au mnataka mfungue chuo muwe mnafundisha teh teh
 
We weka vigezo vikali Tu,ukifikisha 40yrs na bado hujaolewa utarud tena kutafuta mume na vigezo viwili tu [emoji1] [emoji1]
 
Weka pics na kivuli cha vyeti vyako
Mbarikiwe.
 
We weka vigezo vikali Tu,ukifikisha 40yrs na bado hujaolewa utarud tena kutafuta mume na vigezo viwili tu [emoji1] [emoji1]
We live in the now sir,right now am 30 sir..na hivyo ndo vigezo vilivyopo....when am 40 will worry about the 40s.
Thank you for reading and responding.
Be blessed.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom