Natafuta mchumba (KE)

Natafuta mchumba (KE)

Bado sijapata mtu serious ambaye kanitafuta naemdelea kuomba yeyote ambaye yupo tayari ana vigezo au anaelekeana na vigezo hit my pm please
Kama heading inavyosema mimi ni mwanume aged 30 ni mwembamba mrefu na mweusi nimeajiriwa private company.
Ninatafuta mwanamke aged 20 mpaka 35 awe na kazi au biashara nipo bagamoyo serious one hit my pm
NB serious relationship kuelekea ndoa
 
Humu wa kuelekea ndoa hamna ila wa kuelekea vibunda mkuu ni fasta usiseme sikukufahamisha
 
Hawa ndio wanapenda sana kila kitu half by half ndio mana anadai uwe nakitu unafanya
Hivi kwasasa kuna mdada atakua kakaa tu,yaani hajaajiriwa wala kujiajiri kivyovyote vile,mbona atahisiwa vibaya?
Inabidi KE ajishughulishe,siyo mtu kakaa tu,lazima mwanaume ujiulize huyu mtu anatoa wapi mahitaji yake,hasahasa kama haishi na wazazi.
 
Nita gonga 30 mwakani na sina hata demu wa kummwagia shahawa zangu dah😖😖😖😖😖😖😖😖😖
 
Back
Top Bottom