Natafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo

Natafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo

Duuh
Basi tutabaki single mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3],.........usikate tamaa mapema hivyo, unapaswa kutuelewa wanaume wengi haya masharti na vigezo ni dhana za kufikirika tu.

Urembo wako ndio funika kombe wa yote hayo. 1st impression ndio kila kitu. Au sio bro BAK
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umesahau kusema "Awe CCM"
Sio lazima awe CCM
Ila ni lazima ajue kuwa rais Magufuli Ni Rais makini sana na mwenye roho nzuri...hayo mengine unayoyajua kuhusu Magufuli Ni mtazamo wako wewe ila Mimi namuamin
 
"ajue kabisa mimi Sina mpango wa kununua gari maisha mwangu".

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Halina umuhimu daladala zipo nyingi TU nauli 500..kwanini tuwe na gari wakati usafiri wa popote tutapata?
 
ehuuuuu! aiseeeee!
kwel watu tupo sawa ila hatufanani.

kila kheri
 
[emoji3][emoji3][emoji3],.........usikate tamaa mapema hivyo, unapaswa kutuelewa wanaume wengi haya masharti na vigezo ni dhana za kufikirika tu.

Urembo wako ndio funika kombe wa yote hayo. 1st impression ndio kila kitu. Au sio bro BAK
Makubwa haya
 
👮‍♂️👮‍♂️👮‍♂️ salut mkuu... huwezi pata anatimiza vigezo vyo hivyo mkuu.... hususa kupendelea kusoma vitabu mbalimbali wako wachache sana mkuu.. ktk 500 unweza kuta kuna 1 tu
 
Je unacho kipato cha uhakika kwa kila mwezi cha kukuwezesha japo kujikimu na familia?
 
Haaaa!! wewe na zero iq mnafurahisha sana , mkuu ulituma picha ya getto lako kama mradi wa kuzalisha mende na chawa na wadudu wanaotambaa , inaonekana unajikubali sana mkuu maana kwa lile getto kigezo ingebidi kuwa demu tu , maana getto kama la bibi kizee [emoji16][emoji16]
Godoro kaweka chini na sweater za kijani kama uwanja wa taifa.
 
Mkuu hongera sana ila kwa maisha ya Tz sijui kama huyo mke yup.

Mimi sina ubaguzi wowote,ila awe anajitambua, mpenda maendeleo nakujituma
-awe na umri chini ya miaka 24
-awe mwembamba
-awe mweusi au kama mweupe Basi ule wa asili
-awe na elimu ya chuo chochote ngazi ya cheti,diploma au degree hata Kama akiwa Hana kazi haina shida nitampa mtaji mkubwa wa kufanya biashara.
-awe mchaMungu anayeheshimu dini zote ila yeye mwenyewe asiwe mtu wa dini Sana ,pia awe na utambuzi wa Hali ya juu awe haamini Kama Kuna shetani,wala Kuna uchawi awe anajua ukweli kuhusu hizi dhana.
-awe anapenda kujifunza zaidi na hasa kusoma vitabu vya dini zote,ajue angalau history of the world na knowledge ya mambo ya afya hasa kwa kutumia vitu vya asili Kama vyakula, viungo n.k.
-ajue angalau kwa undani knowledge hizi za duniani yaani partial truth Kama vile technology, science, chemistry,physics,laws,nature na kisha ajue deep knowledge ile yenyewe secret knowledge yaani universal Truth aijue na awe tayari tujifunze naye kwa undani kuhusu habari za MUNGU
-awe anapenda kucheza tennis au volleyball yaani kila siku awe tayari kucheza na Mimi
-awe tayari kunitii chochote nitakachomwambia yaani asichoke kunisikiliza
-awe anajali Sana kitu kinachoitwa muda awe anajua umuhimu wa kufanya maandalizi mapema ya Jambo fulani.
-asiwe mtumiaji mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii angalau awe anasoma news za kimataifa,au Kama Ni mtandao nimkute Yuko wikipedia,quora au JAMII FORUM.
-kwenye upande wa siasa awe Anamkubali DKT John pombe Magufuli.
-asiwe Ana ndoto za malengo ya kuja kuwa tajiri Sana kiufupi aridhike na maisha ya kawaida..ajue kabisa mimi Sina mpango wa kununua gari maisha mwangu.
-asiwe mtu wa kuamini Amini habari za kusikia na kusimuliwa kwa maneno.
-awe havai wigi,Wala kusuka suka marasta saloon awe na natural hair.
-asiwe na gubu awe Ni mtu mbunifu wa kuitafuta faraja yaani katika mawazo yake awe anajaribu kugundua vitu ambavyo vitatufanya tuwe na faraja
-asiwe mtu wa kusubiri matatizo yatukute Kama vile magonjwa yaani tuhakikishe tunadhibiti maradhi fulani kabla hayajatukuta kwa kuzingatia kanuni za afya,usafi,chakula, mazoezi n.k.
Kama yupo aliye serious tufanye maisha naomba Ani PM
 
Back
Top Bottom