Natafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo

Duuh
Basi tutabaki single mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3],.........usikate tamaa mapema hivyo, unapaswa kutuelewa wanaume wengi haya masharti na vigezo ni dhana za kufikirika tu.

Urembo wako ndio funika kombe wa yote hayo. 1st impression ndio kila kitu. Au sio bro BAK
 
Reactions: BAK
Umesahau kusema "Awe CCM"
Sio lazima awe CCM
Ila ni lazima ajue kuwa rais Magufuli Ni Rais makini sana na mwenye roho nzuri...hayo mengine unayoyajua kuhusu Magufuli Ni mtazamo wako wewe ila Mimi namuamin
 
"ajue kabisa mimi Sina mpango wa kununua gari maisha mwangu".

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Halina umuhimu daladala zipo nyingi TU nauli 500..kwanini tuwe na gari wakati usafiri wa popote tutapata?
 
ehuuuuu! aiseeeee!
kwel watu tupo sawa ila hatufanani.

kila kheri
 
[emoji3][emoji3][emoji3],.........usikate tamaa mapema hivyo, unapaswa kutuelewa wanaume wengi haya masharti na vigezo ni dhana za kufikirika tu.

Urembo wako ndio funika kombe wa yote hayo. 1st impression ndio kila kitu. Au sio bro BAK
Makubwa haya
 
👮‍♂️👮‍♂️👮‍♂️ salut mkuu... huwezi pata anatimiza vigezo vyo hivyo mkuu.... hususa kupendelea kusoma vitabu mbalimbali wako wachache sana mkuu.. ktk 500 unweza kuta kuna 1 tu
 
Je unacho kipato cha uhakika kwa kila mwezi cha kukuwezesha japo kujikimu na familia?
 
Godoro kaweka chini na sweater za kijani kama uwanja wa taifa.
 
Mkuu hongera sana ila kwa maisha ya Tz sijui kama huyo mke yup.

Mimi sina ubaguzi wowote,ila awe anajitambua, mpenda maendeleo nakujituma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…