Nyani abiziani
Hii tenda naweza kuinyaka lakini bado haujaweka vigezo vya mchumba,eg mweusi,mweupe,mfupi,mrefu,macho ya wizi,miguu chupa ya bia,makalio madogo/makubwa,ukubwa wa kiuno na nk ni muhimu vikafafanuliwa.
Mkuu kazi yoyote ina gharama na ujira si vibaya ukaweka wazi utatoa kiasi gani kwanza kuniwezesha na mwisho nikimaliza kazi kwa mafanikio nitalipwa nini.