naitwa john frank nafanyakazi ya kuajiliwa mwanza elimu yangu ni ya chuo kikuu natafuta mchumba mcha MUNGU lakini pia awe mpenzi wa kuimba awe anatoka mahali popote tanzania awetayari kupima atakayekuwa tayari tuwasiliane kwa namba 0768907524. awe na umri kuanzia miaka 23 kuendelea.