Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au mkuu alternative ni kwenda kanisa la mama Lwakatare pale kuna wanawake kibao wanatafuta waume.... na niwacha Mungu kama unaohitajiLaaana tena
miaka 22 unaanza kutafuta wanawake jf ..ndugu una matatizo kua kwanza tafuat pesaMm ni kijana mwenye miaka 22 natafuta mchuma miaka 18-29 serious ajue uchungu wa kutedwa ntampenda sana !!
Nipo arushaa ni chek box..
Msamahaa kaka..Gad'Demn....View attachment 1233756
Sasa yupi bora kati ya hawa wawili? Anayedanga au Anayemcha Mungu.nenda mlimani kwenye matamasha ya RADIO SAFINA
utawapata wenzako huko wana maombi
Akukalishe njaaa wiki nzima kisa ni YUKO kwenye maombi
Utaomba POOO nakwambia
mwenzako yalinikuta nilihisi niko na mu all shabaaab
Akiomba analiaaaaaa akimaliza anacheka kula hali,ni yuko kwenye maombi
Upo hapo muraaaaaa...Usiseme sijakwambia.
Saw kaka mkubwanenda mlimani kwenye matamasha ya RADIO SAFINA
utawapata wenzako huko wana maombi
Akukalishe njaaa wiki nzima kisa ni YUKO kwenye maombi
Utaomba POOO nakwambia
mwenzako yalinikuta nilihisi niko na mu all shabaaab
Akiomba analiaaaaaa akimaliza anacheka kula hali,ni yuko kwenye maombi
Upo hapo muraaaaaa...Usiseme sijakwambia.
Watakuja na upepo wa kisulisuli.😂😂😂Wewe unatafuta mchumba? Kuna mwenzako katafuta mke humu huu mwezi wa nane kakosa hadi akawaachia laana.
Sasa zubaa usubiri mchumba kutoka JF. Utajimega.