natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

tabia

Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
11
Reaction score
2
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkiristo.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkristo,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki
 
Mimi nina kazi nzuri tu ila sina degree.nilijaribu kuchukuwa degree ila nikadisco nikiwa mwaka wa tatu kwa sababu za kisiasa.unaweza kunifikiria?
 
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkilistu.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkilistu,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki

kigezo cha dini je?
Bamwanasha
 
Usikatishwe tamaa mwaya, utampata wa kukufaa. Subira yavuta heri shosti
 
kigezo cha dini je?
Bamwanasha

Inaelekea hukutaka kusoma post yake mpaka sasa atakutosa maana atasema haupo organized maana kama ameandika maandishi machache alafu hujasoma sijui kama ukiwa mume wake itakuaje (joking)
 
Ina maana kutakuwa na zoezi la ku-attach certificate?
nadhani itabidi kuthibitisha kitaalam kama umehold degree.lakni mimi kinachoweza kunisaidia hapa ni kwamba hata atakapoenda kuuliza chuo nilichosoma watamuambia kwamba nilsoma pale lakini niliondolewa kwa hila.kama una sifa apply kaka!
 
Sasa hapo unatangaza nafasi za kazi au nini?nathubutu kusema degree yako haijakusaidia kwa chochote kile na nakushauri urudi shule yaweza kuwa ulichakachua hata kuandika hujui,huna vision,wala planning yeyote,tafuta kitabu cha myles munroe kinaitwa waiting and dating,na kingine kinaitwa taking wedlock out of a padlock,unaniangusha na elimu yako ya degree haiendani na fikara zako hasi
 
Back
Top Bottom