natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

[h=2]Mchumba anatafutwa[/h]
Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

WASIFU WANGU;Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

WASIFU WANGU;
Jinsia: Mwanaume
Elimu yangu: juu(chuo)
Umri: 32 yrs
Mwonekano: Mwembamba kiasi, urefu wa wastani, mweusi kiasi.
Dini: mkristo ( katoliki)
Kazi: mwajiriwa/biashara/kilimo pia
Uhusiano: nipo single na sijawahi kuoa.
Mtoto: sina
Pombe: situmii
Sigara: situmii
Nyumbani: natatokea kanda ya ziwa
Makazi ya sasa: dsm

WASIFU WA MLENGWA;
Jinsia yake; msichana
Umri wake; asizidi 22-28 yrs
Mwonekano wake: awe na umbo la wastani ( sio mwembamba sana au mnene sana, au mfupi kabisa), mweupe au maji ya kunde atapewa kipaombele.
Dini yake; mkristo ( mcha mungu wa kweli)
Kazi yake; yoyote halali au hata kama hana kazi sawa
Uhusiano: awe single, hajawahi kuolewa.
Watoto: asiwe na mototo
Vilevi; asitumie pombe wala sigara au kilevi cha aina yoyote
Nyumbani: mwenyeji wa kanda ya ziwa atapewa kipaombele.

Kwa msichana yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious kwa kuingia kwenye ndoa tuwasiliane kwa email
lowerones@yahoo.com

MSINISAHAU KWENYE HARUSI YENU......aki am goooood...mmmmwwaaaah....tafutaneni
 
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkiristo.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkristo,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki

daah mm nina diploma haah haah ila ndio kwa sasa naitafuta degree huku nipo inservice! Basi tena sina bahati mie
 
Endeleeni kwa raha zenu,bishanga nimepita hapa kwa bahati mbaya tu.
 
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkiristo.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkristo,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki

niko serious, nina sifa unazotaka ila siwezi ku pm . nitumie email nninfb@gmail.com
 
nipo hapa bibie! contact me via :immediately ili tupange mipango. nipe no .
 
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkiristo.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkristo,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki

Profile yako inavutia sana. I wish ningekuwa nawe.

Tatizo ni kwamba natafuta mke mwenye uzoefu katika ndoa(si chini ya miaka mitatu), yaani aliyeisha wahi kuolewa, awe mjane na sio awe alishawahi kupewa talaka.

Pia awe alisha-experience kuzaa na kulea, ili nisiumie kichwa kwenye malezi ya watoto tutakaowazaa.

I hope utapata unayemtaka endelea kutafuta usichoke.
 
vipi ushapata dadaangu tabia?
 
Last edited by a moderator:
sasa mbona unatafuta tena na wakati tulikubalia imekuwaje unaenda kutafuta tena jamaaani?aah wanawake!
 
toa simu yako au email ili iwe rahisi zaidi kupatikana, wengine iyo kuku pm hatuijui kabisa...
 
Nakuhitaji mpenzi wangu nakuhitaji, njoo kwangu mpenzi wangu nakuhitaji, isagamwe ndewulo, isaga mwe ndewulo.........!
 
Back
Top Bottom