natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

kigezo cha dini je?
Bamwanasha
Mimi nina vigezo vyoote, nina degree, mkilistu, nina kazi, mnene wastani ila kimoja sasa me mfupi kidogo sijui itakuaje but nipo serious sina jocks. na ikiwezekana hata mwakani tufunge ndoa me niko tayari kabisaa. kama hata ukinikaribisha kwenu kesho me niko tayari.
 
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkilistu.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkilistu,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki

mola akusaidie kumpata mwema
 
Kwani mnapolala kitandani mnazitandika kwanza hizo degree au? Kama hujampata kwa miaka yote hiyo na huku ukiwa na degree yako mkobani, sasa inahusianaje na kutafuta mume? wewe ukipata wa kukubanjua vizuri na awe na uhakika wa kupata ugali na mboga, banjuka naye tu. kuna watu wana degree hadi 3 zimewekwa masandukuni na kuamua kufuata mkondo mwingine kabisa kutegemeana na uelekeo wa upepo na wameweza kufanya vizuri.
Ni mtazamo tu.
 
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkilistu.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkilistu,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki

mpenzi tabia utaikuta PM yangu .. Lakini humo kwenye nyekundu sijakuelewa, naomba ufafanuzi tafadhali
 
Last edited by a moderator:

Inabidi tusio na Degree, tutafute hata za Kufiji, Maana kila mwanamke humu anatafuta mume mwenye degree, Anaglieni zisije watokea puani. Hivi hamjui kuwa kuna watu wana degree alafu wako vijiweni. Watu hawaangalii Degree, wanaangalia una nini
 
Hivi wanawake siku hizi mna nini? Mnaolewa na degree sio?
 
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkilistu.
Wasifu wa mwanaume

mrefu,elimu ya chuo(degree)mkilistu,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
Kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki

mimi natafuta mchumba yani kama ww ila ndio kazi natafuta vp nitume maombi maana ww umetaka mwenye kazi
 
Bahati sio yangu hii..............oky all the best
 
Sasa hapo unatangaza nafasi za kazi au nini?nathubutu kusema degree yako haijakusaidia kwa chochote kile na nakushauri urudi shule yaweza kuwa ulichakachua hata kuandika hujui,huna vision,wala planning yeyote,tafuta kitabu cha myles munroe kinaitwa waiting and dating,na kingine kinaitwa taking wedlock out of a padlock,unaniangusha na elimu yako ya degree haiendani na fikara zako hasi

sasa mimi nimeangalia alivyo spell umri na mkristo nikapata wasiwasi na hiyo elimu yake, maana hata mtoto wa darasa la pili asingekosea
 
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkilistu.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkilistu,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki

Mnene wastani, weka uzito wako
Mrefu wastani, weka vipimo vya urefu wako
Elimu ya chuo, weka kiwango cha elimu mathalan diploma,degree ?????

Weka vigezo wazi uwarahisishie watu kazi...
 
mpenzi tabia utaikuta PM yangu .. Lakini humo kwenye nyekundu sijakuelewa, naomba ufafanuzi tafadhali

hahahah nataman ningeijua pasword ya tabia,teh uko red me hoi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom