Abdullah01
Member
- Jul 5, 2023
- 20
- 53
Kichwa cha habari cha husika hapo juu.
1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah.
2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia.
3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi pamoja maisha ya familia.
Sifa za mwanamke nimpendaye
1. Awe anaishi mkoa wa mbeya au mikoa ya jirani kama vile songwe, au Njombe, na Iringa
2. Awe na miaka kuanzia 28 hadi 40 ( umri ni namba tu).
3. Awe na shuguli inayomwingizia kipato - ajira, au mjasiria mali au biashara asiwe tu mama wa nyumbani
4. AKIWA NA MTOTO (Single Maza) basi ASIZIDI MTOTO MMOJA.
5. SICHAGUI KABILA, DINI, SURA AU MUONEKANO WAKO kwa sababu mimi sio Mungu na wala sina mamlaka ya kukosoa uumbaji wa Mungu.
6. UPENDO WA KWELI, HOFU YA MUNGU, NIA THABITI YA KUWA NA MUME WAKO NA FAMILIA YAKO ndio msingi bora wa mahusiano imara.
Mwisho: nitakuwa mwanaume muwajibikaji kwa familia yangu kwa maana fedha sio tatizo, kikubwa ni upendo na commitment ya wewe kuwa mke bora kwangu.
KARIBU SANA KWA MWENYE UHITAJI.