M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
Kwanza niwape pole wote waliomtumia application huyu Janeth Shawa.
Pili jina linaweza likawa lake kweli, lakini picha zilizopo facebook sio zake yeye. Mwenye picha hizo namfahamu na ni ndugu yangu. Nimeongea naye, mwenyewe anashangaa picha zake zimemfikiaje huyu ajiitaye Janeth Shawa.
Watu kama hawa ndio wanasababisha wenye nia za dhati kuonekana wahuni wahuni. 😡😡