Natafuta mchumba/mume wa kuanza naye maisha ya ndoa

Kwanza niwape pole wote waliomtumia application huyu Janeth Shawa.

Pili jina linaweza likawa lake kweli, lakini picha zilizopo facebook sio zake yeye. Mwenye picha hizo namfahamu na ni ndugu yangu. Nimeongea naye, mwenyewe anashangaa picha zake zimemfikiaje huyu ajiitaye Janeth Shawa.

Watu kama hawa ndio wanasababisha wenye nia za dhati kuonekana wahuni wahuni. 😡😡
 

Mjini mipango usikute kashwapiga hela wanaume wakware kwenye western union na mpesa(akisema tu baby nipo tanzania nirushie mpesa kidogo).
 
Ama kweli mipango. Ukute hata sio mwanamke.!!
 
Big up sana!!nami nilihisi kuna uhuni fulani kwa tangazo la janeth shawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…