Natafuta mchumba (Mume) wakuanza naye familia pamoja

war1914

New Member
Joined
Oct 10, 2021
Posts
4
Reaction score
39
Kichwa cha habari kinajieleza.
Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha.

Sifa zangu:
Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi.

Sifa za nimtakaye;
Mwanaume miaka kuanzia 34 nakuendelea, ambaye amejiajili au kuajiliwa. Dini yeyote, kabila lolote, awe popote pale Duniani.

NB: Mengine tutaelezana PM, karibuni sana.

Nitakupenda, nitakuheshimu, nitakujali karibu mume wangu mtarajiwa.
 
Niambie kwanza umejifunzia wapi kutuma PM hapa jf

😅😅😅
 
Shida inaanzia hapo kwenye "Nimeajiliwa"..

Hapo pamekupunguzia 50%, ukiplus age tukianza kuuliza ulikuwa wapi unabakiwa na 10% chance.

Anyway, age is just a number ila ni ulaya na marekani tuu.
Basi sawa, ushauri wako nikuwa nisingeandika hiyo kuajiliwa au,
Siwezi danganya sina ajira wakati ni mwajiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…