Natafuta mchumba (Mume) wakuanza naye familia pamoja

Kichwa cha habari kinajieleza.
Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha.

Sifa zangu:
Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi.

Sifa za nimtakaye;
Mwanaume miaka kuanzia 34 nakuendelea, ambaye amejiajili au kuajiliwa. Dini yeyote, kabila lolote, awe popote pale Duniani.

NB: Mengine tutaelezana PM, karibuni sana.

Nitakupenda, nitakuheshimu, nitakujali karibu mume wangu mtarajiwa.
Mimi Kama Embolo natangaza rasmi kuwa mume mtarajiwa , nimepata mke jamiiforum
 
Ukishasimia mwanamke anasema hana mambo mengi uwe tayari kukutana na flatscreen, na kila aina ya maajabu
 
Kichwa cha habari kinajieleza.
Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha.

Sifa zangu:
Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi.

Sifa za nimtakaye;
Mwanaume miaka kuanzia 34 nakuendelea, ambaye amejiajili au kuajiliwa. Dini yeyote, kabila lolote, awe popote pale Duniani.

NB: Mengine tutaelezana PM, karibuni sana.

Nitakupenda, nitakuheshimu, nitakujali karibu mume wangu mtarajiwa.
Huyu hapa bidada
Thread 'Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)' Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)
 
Naona mabaki yamebaki, Mkamalizie kilichobaki
 
Kichwa cha habari kinajieleza.
Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha.

Sifa zangu:
Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi.

Sifa za nimtakaye;
Mwanaume miaka kuanzia 34 nakuendelea, ambaye amejiajili au kuajiliwa. Dini yeyote, kabila lolote, awe popote pale Duniani.

NB: Mengine tutaelezana PM, karibuni sana.

Nitakupenda, nitakuheshimu, nitakujali karibu mume wangu mtarajiwa.
Ungekuwa muislam ningejaribu bahati yangu
 
Back
Top Bottom