Natafuta mchumba (Mume) wakuanza naye familia pamoja

Kichwa cha habari kinajieleza.
Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha.

Sifa zangu:
Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi.

Sifa za nimtakaye;
Mwanaume miaka kuanzia 34 nakuendelea, ambaye amejiajili au kuajiliwa. Dini yeyote, kabila lolote, awe popote pale Duniani.

NB: Mengine tutaelezana PM, karibuni sana.

Nitakupenda, nitakuheshimu, nitakujali karibu mume wangu mtarajiwa.
Wee utanifaa hutaki mambo mengi
 
waoo babe🤩🤩, punguza number umri kidogo mamaake
 
Hizi nyuzi za kutafuta Wenzi kipindi hiki mbona zimekuwa nyingi sana jamani?

Haya.... Mungu na akupe hitaji la moyo wako..
 
Kichwa cha habari kinajieleza.
Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha.

Sifa zangu:
Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi.

Sifa za nimtakaye;
Mwanaume miaka kuanzia 34 nakuendelea, ambaye amejiajili au kuajiliwa. Dini yeyote, kabila lolote, awe popote pale Duniani.

NB: Mengine tutaelezana PM, karibuni sana.

Nitakupenda, nitakuheshimu, nitakujali karibu mume wangu mtarajiwa.
Maneno ya mwisho yameupasua Sana moyo Wangu!

Kwamba;-utanipenda (japo hunijui),utaniheshimu,utanijali!Halafu nikaribiye mimi mumeo aiseh!!

Hivi upo pande zipi ma'am!!
 
Back
Top Bottom