Sasa hivi watu wanatafuta mfanyakazi na siyo mume.Hayaaa waume wachiristoo mnaitwaa
Mimi Kama Embolo natangaza rasmi kuwa mume mtarajiwa , nimepata mke jamiiforumKichwa cha habari kinajieleza.
Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha.
Sifa zangu:
Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi.
Sifa za nimtakaye;
Mwanaume miaka kuanzia 34 nakuendelea, ambaye amejiajili au kuajiliwa. Dini yeyote, kabila lolote, awe popote pale Duniani.
NB: Mengine tutaelezana PM, karibuni sana.
Nitakupenda, nitakuheshimu, nitakujali karibu mume wangu mtarajiwa.
Tumia ID yako ya zamani. We mtu gani kila baada ya miezi miwili unatafuta mume. Umebakiza nini sasa? Maana kila unapopata ukikaa kidogo wanakuacha unakuja kututafuta tena upya. Tumekushtukia...
Huyu hapa bidadaKichwa cha habari kinajieleza.
Mimi ni mdada nahitaji mume wa maisha.
Sifa zangu:
Miaka 32, mchristo, mwajiliwa, mdada wa kawaida tu nisiye na mambo mengi.
Sifa za nimtakaye;
Mwanaume miaka kuanzia 34 nakuendelea, ambaye amejiajili au kuajiliwa. Dini yeyote, kabila lolote, awe popote pale Duniani.
NB: Mengine tutaelezana PM, karibuni sana.
Nitakupenda, nitakuheshimu, nitakujali karibu mume wangu mtarajiwa.
Anahaki ya kupata ubavu wake mkuu. Mpe moyo.
Haha.Heee pole zake
Me nikiweka tangazo nakuja na hii hii
Sina cha kuhofia
Kesho twende Msalato kwanzaHaha.
Mimi nina plan ya kuleta tangazo soon, huu upweke wa mji wa Kiserikali utaniua..!!
Ukiwa unatokea Njiro ama??Kesho twende Msalato kwanza
NdiyooUkiwa unatokea Njiro ama??
Hizi hizi bus zetu za duniani ama private car..???Ndiyoo
Saa 2 niko Stand kubwa
Saa 8 niko mjini
Saa 10 Msalato 🤗
Za duniani,, uzalendo kwanzaHizi hizi bus zetu za duniani ama private car..???
Haha,Za duniani,, uzalendo kwanza
Ungekuwa muislam ningejaribu bahati yanguKichwa cha habari kinajieleza.