Amina ramadhani
New Member
- Mar 19, 2011
- 2
- 2
najuuuuuuuuuuuuuuuutaa!!!
cna la Kusema
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
Wakitokea, uwe tayari kukabidhiana na changamoto utakazokutana nazo.
Haya wakaka PM hiyo mmepewa ufunguo!Kila la kheri bibie!
Sindo nishamwambia kila la kheri au haitoshi?!Hehehe post zangu zinachanganya nini tena Mpendwa?Lizzy, wewe bado? maana nasoma posts zako naona zinanichanganya..hukufanikiwa?? kama ulifanikiwa tafadhali mtie moyo huyu anayetafuta hapa
Sindo nishamwambia kila la kheri au haitoshi?!Hehehe post zangu zinachanganya nini tena Mpendwa?
kwenye weupe!!!! nimeshindwa hapo! huwezi kurekebisha kidoogo!Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
Mie nilijua unaendelea vizuri na yule uliyempata..Lakini naona kama hujaridhika naye lol..?? au umepata wengi unawachambua?
hivi ni Klorokwin au CPU??Mmh embu niambie umegunduaje hayo yote kabla sijakujibu!
:juggle::juggle::juggle:Mmh embu niambie umegunduaje hayo yote kabla sijakujibu!
hivi ni Klorokwin au CPU??