Natafuta mchumba/mume

Natafuta mchumba/mume

Amina ramadhani

New Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2
Reaction score
2
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
 
mmmh!! hizo qualities umezikosa mtaani, what made u think utazipata humu?
 
najuuuuuuuuuuuuuuuutaa!!!

cna la Kusema
 
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.

Nafiti vyote kasoro kimoja, naamini si bahati kwangu!!!
 
Wakitokea, uwe tayari kukabidhiana na changamoto utakazokutana nazo.
 
Haya wakaka PM hiyo mmepewa ufunguo!Kila la kheri bibie!
 
Lizzy, wewe bado? maana nasoma posts zako naona zinanichanganya..hukufanikiwa?? kama ulifanikiwa tafadhali mtie moyo huyu anayetafuta hapa
 
Sindo nishamwambia kila la kheri au haitoshi?!Hehehe post zangu zinachanganya nini tena Mpendwa?
 
Mie nilijua unaendelea vizuri na yule uliyempata..Lakini naona kama hujaridhika naye lol..?? au umepata wengi unawachambua?
 
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.
kwenye weupe!!!! nimeshindwa hapo! huwezi kurekebisha kidoogo!
 
Mie nilijua unaendelea vizuri na yule uliyempata..Lakini naona kama hujaridhika naye lol..?? au umepata wengi unawachambua?

Mmh embu niambie umegunduaje hayo yote kabla sijakujibu!
 
MUNGU AKUSAIDIE UPATE HITAJI LA MOYO WAKO......

ILA SAMAHANI NDUGU ZANGU HIVI KUNA MTU KAWAHI KUFANIKIWA KUPATA MCHUMBA HUMU NA KUFIKIA NGAZI YA NDOA????? AU WATU WANAKUWA WANATANIA TU..........MANAKE mmmm!!!!!!.
 
Back
Top Bottom