Amina ramadhani
New Member
- Mar 19, 2011
- 2
- 2
Naitwa Amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane.