Natafuta mchumba/mume

Natafuta mchumba/mume

[quote
=amina ramadhani;1755488]naitwa amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane
.[/quote]

lazima niodoke nawe, leteni contact
 
Hahahahahahaha!Mpendwa asante kwakunipa kicheko changu cha kwanza siku hii ya leo!Najaribu kuchanya karata zangu vizuri ili nisipate garasha!

kwa hiyo hapa JF kuna magarasha?? mhh ! back to the topic,
Amina jipe moyo! Ingawa hujasema unafanya shughuli gani?? wewe ni mwalimu, Polisi, Hakimu au mwanafunzi??
nasikia wengi wanapenda walimu,
 
Kumbe basi hauna haja ya kuchagua..kwa sababu hata hayo magarasha ni muhimu ili karata zikamilike..??
Bunda zima nipeleke wapi?Nachagua inayonifaa hizo nyingine nawaachia wenzangu nao wafaidi!
 
Nimempatia humu humu mpendwa,
Wala sikuweka tangazo, kwa neema tu yani.

Lakini ulikuwa unatangaza indirectly...kupitia michango yako, mie nilikusoma ndo maana nimekuuliza...hongera sana
 
Bunda zima nipeleke wapi?Nachagua inayonifaa hizo nyingine nawaachia wenzangu nao wafaidi!

Ok..kwa hiyo unataka karata gani?? najua kila karata ina umuhimu wake, iwe J,Q,K,A,3..

Na inategemea unacheza mchezo gani kwenye karata.. kama ni kamali au 'last-card'..lol
 
ndo maana hujib PM zangu sku hizi. sawa bana mungu atanilipia

Noo kloro, sio kwamba sijibu, ila nimechelewa kujibu,
Do Once ilikuwa online kloro, nimekujibu, asubuhi hii, hebu angalia.
Hiyo haibadilishi wala haipunguzi urafiki wetu, sisi ni marafiki katika shida na raha kloro.
 
Ok..kwa hiyo unataka karata gani?? najua kila karata ina umuhimu wake, iwe J,Q,K,A,3..

Na inategemea unacheza mchezo gani kwenye karata.. kama ni kamali au 'last-card'..lol

Mi nacheza aruba-stini!Nnayoitaka ni A tena ya jembe aka Ace of spades!
 
mie huwaga sielewi kabisa hapa jf watu wanatafuta wachumba wanatuambia ila wakishapata hawarudi kutoa shukrani kwa hiyo huwa sifahamu kama wamefanikiwa au hawajafanikiwa ili na mie nitupe ndoano hapa jamvini maana sie wengine ni madomo zege
 
MUNGU AKUSAIDIE UPATE HITAJI LA MOYO WAKO......

ILA SAMAHANI NDUGU ZANGU HIVI KUNA MTU KAWAHI KUFANIKIWA KUPATA MCHUMBA HUMU NA KUFIKIA NGAZI YA NDOA????? AU WATU WANAKUWA WANATANIA TU..........MANAKE mmmm!!!!!!.

Kuna dada anajiita LD, ngoja aje atupe ushuhuda, watch this space,
LD muondoe wasiwasi huyu mtu kwa kuturushia maukweli hapa
 
Back
Top Bottom