Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,933
- 5,394
najuuuuuuuuuuuuuuuutaa!!!
cna la Kusema
umekumbuka tulivyokuchana humu?!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
najuuuuuuuuuuuuuuuutaa!!!
cna la Kusema
.[/quote]=amina ramadhani;1755488]naitwa amina,naishi dar,umri wngu miaka 26, ni muislamu,sijaolewa wala sijazaa,natafuta mchumba ambae atakuwa mume wangu, mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 35,awe mcheshi,mwenye hekima,mpole, awe anafanyakazi,awe mweupe,smart,mrefu kiasi,aliyetayari kupima,awe muislamu,yoyote aliyetayari tafadhali tuwasiliane
Hahahahahahaha!Mpendwa asante kwakunipa kicheko changu cha kwanza siku hii ya leo!Najaribu kuchanya karata zangu vizuri ili nisipate garasha!
Karata hazikamiliki bila magarasha!kwa hiyo hapa JF kuna magarasha??
Karata hazikamiliki bila magarasha!
LD vp??
wewe bado??
Mi tayari mpendwa!!
Ngoja tu nitaleta ushuhuuda hapa!!!
Safi sana..
Ulimpatia humu JF au wapi? lol
Bunda zima nipeleke wapi?Nachagua inayonifaa hizo nyingine nawaachia wenzangu nao wafaidi!Kumbe basi hauna haja ya kuchagua..kwa sababu hata hayo magarasha ni muhimu ili karata zikamilike..??
Nimempatia humu humu mpendwa,
Wala sikuweka tangazo, kwa neema tu yani.
ndo maana hujib PM zangu sku hizi. sawa bana mungu atanilipiaMi tayari mpendwa!!
Ngoja tu nitaleta ushuhuuda hapa!!!
Bunda zima nipeleke wapi?Nachagua inayonifaa hizo nyingine nawaachia wenzangu nao wafaidi!
hivi ni Klorokwin au CPU??
khaaaaaaaaa! :tape2:Hahahahahahaha!Mpendwa asante kwakunipa kicheko changu cha kwanza siku hii ya leo!Najaribu kuchanya karata zangu vizuri ili nisipate garasha!
ndo maana hujib PM zangu sku hizi. sawa bana mungu atanilipia
ndo maana hujib PM zangu sku hizi. sawa bana mungu atanilipia
Ok..kwa hiyo unataka karata gani?? najua kila karata ina umuhimu wake, iwe J,Q,K,A,3..
Na inategemea unacheza mchezo gani kwenye karata.. kama ni kamali au 'last-card'..lol
Lakini ulikuwa unatangaza indirectly...kupitia michango yako, mie nilikusoma ndo maana nimekuuliza...hongera sana
MUNGU AKUSAIDIE UPATE HITAJI LA MOYO WAKO......
ILA SAMAHANI NDUGU ZANGU HIVI KUNA MTU KAWAHI KUFANIKIWA KUPATA MCHUMBA HUMU NA KUFIKIA NGAZI YA NDOA????? AU WATU WANAKUWA WANATANIA TU..........MANAKE mmmm!!!!!!.
Enheee!Hamna mapenzi ya upofu hapa!khaaaaaaaaa! :tape2: