Natafuta mchumba(mume)

mume bora ni we mwenyewe utakavyo amua ishi naye anaweza akawa wa kanisani kwenu na akakushinda ubora wa mtu anajua Mungu aliye muumba
 
Yaani kuna watu wachokozi,we kama huna vigezo tulia usifosi miaka yake ina nini,kila mmoja anaingia kwenye ndoa anapojiona yuko tayari na ni wakati sahihi,wahenga walisema kuingia ndoani ukiwa na21-23/nisawa nakuondoka disko SAA tatu usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
natafuta mchumba atakaye kuwa mume awe afanya kazi au biashara awe na miaka 33 adi 38. awe mrefu
mimi nina miaka 31
Ilikuwaje hadi umri huo hujapata?
 
Hapo kwenye kuondoka disko saa 3 imebidi nicheke[emoji23] [emoji23]
Muunganishe mwenzio kwa kaka yako[emoji12] [emoji40]
 
Umesema urefu nchi 6? Hakuna binadamu wa hivyo! Au umemaanisha urefu wa mkuyenge?
 
Reactions: P.J
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…