Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
Naona unacheka mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unacheka mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
natafuta mchumba atakaye kuwa mume awe afanya kazi au biashara awe na miaka 33 adi 38. awe mrefu
mimi nina miaka 31
Ilikuwaje hadi umri huo hujapata?natafuta mchumba atakaye kuwa mume awe afanya kazi au biashara awe na miaka 33 adi 38. awe mrefu
mimi nina miaka 31
Hapo kwenye kuondoka disko saa 3 imebidi nicheke[emoji23] [emoji23]Yaani kuna watu wachokozi,we kama huna vigezo tulia usifosi miaka yake ina nini,kila mmoja anaingia kwenye ndoa anapojiona yuko tayari na ni wakati sahihi,wahenga walisema kuingia ndoani ukiwa na21-23/nisawa nakuondoka disko SAA tatu usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa kaka zangu wazuri mno wapasua kichwa watamuumiza tuHapo kwenye kuondoka disko saa 3 imebidi nicheke[emoji23] [emoji23]
Muunganishe mwenzio kwa kaka yako[emoji12] [emoji40]
Hahaha yeye hana shida ilimradi awe mrefu (nafikiri kuliko yeye) + umri basi, Fanya mpango huenda kaka yako akatulizwa.
njoo kwangu vigezo hakuna uwe tu na kibamia kinachofanya kazi na akili kichwani hata ya kubeba zege
Na mim nifikirie basi mtoto mzuri...umri unazidi kwendaMmmh utapata tu usijari lakini mpaka unafikia umri huo ulikuwa wapi mumy a
Sent using Jamii Forums mobile app