Natafuta mchumba/mume


Yaani wewe kwenye masharti aliyotoa umeona hilo tu... angesema yeye mlokole nani ungemuuliza haya maswali?? Jamani haya ni masharti ya mume anamyemtaka yeye, sasa mnataka kumlazimisha?? Acheni hizo.....
 


sitaki demu.
 
ilibaki kidogo nikubaliane na wewe ila kipengele cha dini tu ndo kkwazo,,,,,kame vipi badili dini....uje tule kiti moto nina sifa zote ulizozitaja....kama vip ni pm
 
Mapenzi ya kwel hayana dini wewe, jifkrie vzur kumpata akupendaye! Na hakika kuhangaika kwako mpaka kufkia hatua hyo n kwa sababu hyo hyo ya dini! Pole sana dada kwa kigezo hicho umekwama!
 
Mnyampaa vp? Why serious not? Kama hutaki demu bac ungekaa kimya kulko kurespond as t wish! Heshm mawazo ya wenzako,hii n jf of great thinkers bwana so be serious ma frnd!
 
Kwa hiyo sisi tusio na dini tukawowe wapi?
naitwa kasebele nurudini naishi tab0ra/natafuta mchumba/mke umri wake kati ya miaka 21-29,awe anamcha mungu kwa dini y0y0te ile,awe na elimu kuanzia kidat0 cha nne,anpenda kujishughulisha ili kuepukana na umaskini..mawasilian0 ni simu 0753082524
 
dada mimi pia natafuta mke kama hujapata mume tuwasiliane....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…