Natafuta Mchumba/Mume

Eng.. inapaswa upate kijibe kiwe kinakupiga poka ya maana!!, Kila lilo kheri likawae nawe.
 
Safi
 
32-40
Hajaoa na hana mtoto? Inawezekana.

Hana mtoto na si mlevi? Haiwezekani.
Awe na degree na kipato cha kueleweka asiwe na walau mtoto, UONGO HUO.

Anyway, kila la kheri. Allah akujalie mume mwema utimize nusu ya dini.
Atapata hanisi [emoji848]
 
huna akili wew. umri 32 hujaolewa unasubili Nini Sasa afu unasema mume awe na degree kwani hiyo degree inakuoa. [emoji1][emoji1] eti awe hana mtoto. mmmh we dada unaota au upo sawa amka. nenda kajisaidie mana naona usingizi umekizidia namindoto ya alinacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji91]
 
lakin hapo unapofanyia kazi hakuna wanaume ambao wanaweza kukuoa acha kujidhalilisha
 
32-40
Hajaoa na hana mtoto? Inawezekana.

Hana mtoto na si mlevi? Haiwezekani.
Awe na degree na kipato cha kueleweka asiwe na walau mtoto, UONGO HUO.

Anyway, kila la kheri. Allah akujalie mume mwema utimize nusu ya dini.
These women are just too unrealistic jamani ebu kaaeni chini na mama zenu wawape elimu kwanza ya mahusiano jamani.
Sasa kidume anakipato kizuri asiwe na mtoto au mke sii kutafuta miujiza
 
Huyu elimu haijamsaidia kufikiri
 
Kila la kheri🙏
 
Hivi love kwenye social media kumbe iko real eeh [emoji15][emoji15]ila czan kama ni sehem sahihi ya kupata mke or mme.anyway kama uko serious utapata walau nusu ya ulichoomba kama c nzima [emoji1436]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…