Natafuta Mchumba/Mume

Kwahyo umeburudika nae vyakutosha alaf ndounatafta mume??
 
Mwenyezi Mungu akubariki upate anaekustahili
 
Engineer gani anajieleza vizuri hivi..
Au engineer wa kitandani😀
 
Watu wanamshukia mleta mada hadi sio poa [emoji23][emoji23][emoji23] Kuna muda naweza andika uzi lkn kila nikifirikia kuupost naghairi mana nina moyo mdogo waja wa humu wanaweza kukupa presha.
Kwakweli Yani ukiandika kitu uwe na moyo hasa love connect wamezid aisee kunawatu wanastress kama vile watu walioachwa😂😂

Alafu wanawivu naona Kwa wanawake walowazidi naona maana wanaosema ni jobless wanajibuwa vizuri ila Wakiona kazi zao wanaleta makasiriko
 
Kwakweli Yani ukiandika kitu uwe na moyo hasa love connect wamezid aisee kunawatu wanastress kama vile watu walioachwa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Sio poa yaani. Watu ni wamevurugwa huko wakija humu wanakuja kukuangushia zigo la machungu yao.
 
Uko sawa dada yangu Ila sikupangii unacho waza lakini kwa sisi waislam Mika 40 awe hajaoa na awe na digree cjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…