Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wanajisahau sana wanapokuwa kwenye ubora wao. Na wanaume wenyewe wenye 30s wanataka totoz mbichi za 25 kushika chiniWanavyokuwaga na maringo wakati ngoma haijafika 30 sasa, full maringo alafu baadae ndio oh nataka mume