Nenda pm ukajielezee kuwa hauna degreeNipø najiulza swali moja hapa:-
Mapenzi na degree vinauhusiano gan?
Maana kila mwanamke vigezo vyake anataka mwanaume mwenye degree!
Je, ukiwa na degree ndo unakuwa na mapenzi ya dhat?
Na vp kuhusu sisi ambao hatujasoma, tusioe wasomi au?
Hapo unakuwa unatafta mwanaume mwenye elimu ya juu au mwenye mapenzi ya dhat pamoja na akili ya maisha?
Wanawake naomba mfikilie mara mbili mbili!!!
pombe ni bora kwanu kuliko mke wacha ni baki na pombe zanguMimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].
Mbarikiwe sana
tena injiniaUnaonekana mjeuri sana wewe kulikuwa hakuna ulazima wa kusema umeishi njee....
Miaka 34+ awe injinia,elimu degree hafu ana mtoto na hajaoa huyo mwanaume hayupo injinia sipinah
😂😂😂😂Kila raheli kumsakanya engineer spinah maana sisi wengine tuko na skills za mtaaniMimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].
Mbarikiwe sana
haina hiyo acheni kujipa moyo siku mkijua mtu ana watoto mnapagawaWapo wengi tu sababu ya kuchelewa masomoni na kupata ajira
Nchi gani?Sina sura mbaya kama unavyofikiria.. na sio kama sikuwa na mtu kabla.
Mimi nimeishi nje ya nchi kwa mda mrefu na nilikuwa na mwanaume huko ambae pia hakua mtz na dini zetu zilikuwa tofauti.
Familia zote mbili zilishindwa kuafiki hiyo situation ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake. Na sasa ndio nimerudi Tanzania nikaona niendelee na maisha mapya
Muda wote unatembea na gari na hata kwenda out uendi Mwanaume utampata wapi jitahidi utembee bibieMimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].
Mbarikiwe sana
🤣🤣🤣🤣Wananyodo awo chief balaaMuda wote unatembea na gari na hata kwenda out uendi Mwanaume utampata wapi jitahidi utembee bibie
Find me though 0738041717Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].
Mbarikiwe sana
Mwanamke hakosi mme ila kwa kujitakia.Nipø najiulza swali moja hapa:-
Mapenzi na degree vinauhusiano gan?
Maana kila mwanamke vigezo vyake anataka mwanaume mwenye degree!
Je, ukiwa na degree ndo unakuwa na mapenzi ya dhat?
Na vp kuhusu sisi ambao hatujasoma, tusioe wasomi au?
Hapo unakuwa unatafta mwanaume mwenye elimu ya juu au mwenye mapenzi ya dhat pamoja na akili ya maisha?
Wanawake naomba mfikilie mara mbili mbili!!!
Kaka kila laheri ushapata kula chuma iko cha engineering 😆Find me though 0738041717
wakoje kwan mkuu embu toa code😆😆Ila nikikumbuka zile pisi zilikuwa zinasoma engineering mmmh basi tu yatapitaaa
Kwani maengineer Wana kipato kizuri.?Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].
Mbarikiwe sana
Wewe kabila ganiMimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.