Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Nenda pm ukajielezee kuwa hauna degreeNipø najiulza swali moja hapa:-
Mapenzi na degree vinauhusiano gan?
Maana kila mwanamke vigezo vyake anataka mwanaume mwenye degree!
Je, ukiwa na degree ndo unakuwa na mapenzi ya dhat?
Na vp kuhusu sisi ambao hatujasoma, tusioe wasomi au?
Hapo unakuwa unatafta mwanaume mwenye elimu ya juu au mwenye mapenzi ya dhat pamoja na akili ya maisha?
Wanawake naomba mfikilie mara mbili mbili!!!