Natafuta Mchumba/Mume

Natafuta Mchumba/Mume

Nipø najiulza swali moja hapa:-

Mapenzi na degree vinauhusiano gan?
Maana kila mwanamke vigezo vyake anataka mwanaume mwenye degree!

Je, ukiwa na degree ndo unakuwa na mapenzi ya dhat?

Na vp kuhusu sisi ambao hatujasoma, tusioe wasomi au?

Hapo unakuwa unatafta mwanaume mwenye elimu ya juu au mwenye mapenzi ya dhat pamoja na akili ya maisha?

Wanawake naomba mfikilie mara mbili mbili!!!
Nenda pm ukajielezee kuwa hauna degree
 
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].

Mbarikiwe sana
pombe ni bora kwanu kuliko mke wacha ni baki na pombe zangu
 
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].

Mbarikiwe sana
😂😂😂😂Kila raheli kumsakanya engineer spinah maana sisi wengine tuko na skills za mtaani
 
Awe engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri ni
Mojawapo ya kigezo cha mwanamke anaehitaji kuolewa..
Dunia ilipofikia aise
 
Hapo unapofanyia kazi shirika au kampuni kwahyo hawajakuona kweli?? Na Msikitini?
 
Sina sura mbaya kama unavyofikiria.. na sio kama sikuwa na mtu kabla.

Mimi nimeishi nje ya nchi kwa mda mrefu na nilikuwa na mwanaume huko ambae pia hakua mtz na dini zetu zilikuwa tofauti.

Familia zote mbili zilishindwa kuafiki hiyo situation ikabidi kila mtu aendelee na maisha yake. Na sasa ndio nimerudi Tanzania nikaona niendelee na maisha mapya
Nchi gani?
 
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].

Mbarikiwe sana
Muda wote unatembea na gari na hata kwenda out uendi Mwanaume utampata wapi jitahidi utembee bibie
 
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].

Mbarikiwe sana
Find me though 0738041717
 
Nipø najiulza swali moja hapa:-

Mapenzi na degree vinauhusiano gan?
Maana kila mwanamke vigezo vyake anataka mwanaume mwenye degree!

Je, ukiwa na degree ndo unakuwa na mapenzi ya dhat?

Na vp kuhusu sisi ambao hatujasoma, tusioe wasomi au?

Hapo unakuwa unatafta mwanaume mwenye elimu ya juu au mwenye mapenzi ya dhat pamoja na akili ya maisha?

Wanawake naomba mfikilie mara mbili mbili!!!
Mwanamke hakosi mme ila kwa kujitakia.
 
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].

Mbarikiwe sana
Kwani maengineer Wana kipato kizuri.?
 
Wewe kabila gani
 
Back
Top Bottom