Natafuta Mchumba/Mume

Natafuta Mchumba/Mume

Laaaaziz sijachelewa hii nafasi Kweli?😅
Sina elimu Wala kazi Ila nifkirie,
 
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].

Mbarikiwe saa
WELCOME
 
It will be a nice couple and wiil be called abroaders, but don't for gate the criterias , one of them is "you must be engineer"
 
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].

Mbarikiwe sana
Tafuta bodaboda wako akuoe hayo mambo ya elimu yatakuponza na kiburi çhako!
 
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 34-40, awe muislam, awe Engineer au kazi yoyote yenye kipato kizuri, elimu iwe degree kwenda juu, asiwe ameoa, asiwe mlevi, awe anaishi dar es salaam, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM. Kashfa, matusi na kejeli [emoji114].

Mbarikiwe sana
Una sifa sawa na binamu yangu. Nilikuwa nammindi kipindi tu, bahati akiolewa na engineer mwenzie, ndoa haikudumu, wakaachana. Kisa hajamzalia. Jikajisemea moyoni una sifa zote kwa mke naemuhitaji. Nahitaji mwanamke tasa kwasasa.

Kama ndie weye, na unahitaji mume mwenye sifa hizo. basssss nasalimu amri. Sina sifa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] nyie jichanganyeni mtu anataka kujua ID za watu tuu umu ndani apo tumeni vinumber vyenu na cv alafu mambo yanakua wazi tena [mention]mzabzab [/mention] we ndo hue makini maana we unawazaga tu vitumbua vingine ni mitego tuu[emoji16]
 
Nipø najiulza swali moja hapa:-

Mapenzi na degree vinauhusiano gan?
Maana kila mwanamke vigezo vyake anataka mwanaume mwenye degree!

Je, ukiwa na degree ndo unakuwa na mapenzi ya dhat?

Na vp kuhusu sisi ambao hatujasoma, tusioe wasomi au?

Hapo unakuwa unatafta mwanaume mwenye elimu ya juu au mwenye mapenzi ya dhat pamoja na akili ya maisha?

Wanawake naomba mfikilie mara mbili mbili!!!
 
Back
Top Bottom