Natafuta mchumba mwaminifu na mwenye malengo kimaisha

Natafuta mchumba mwaminifu na mwenye malengo kimaisha

TALLMAN12

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2019
Posts
370
Reaction score
424
Mimi ni kijana above 35 mwenye elimu ya vyuo nina shughuli zangu halali za kuniingizia kipato cha kusustain maisha ya familia. Mwanamke ninaemtaka awe above 25 to 35 no problem. awe na elimu kiasi ya kutusaidia kujadili mambo yanayohitaji japo analysis kidogo kwa mustakabali wa future yetu. Mimi ni mkristo japo si limit dhehebu.

Kwa kweli narudia hili I need a very serious and committed lady. na siyo kwamba makubaliano yatafanyiki kimtandao tu... hapana... tunaweza onana ili upata nafasi ya kuni assess then from their you can make your decission.

Wishing you all the best
 
mungu mwema utapata,wa kuendeana.
 
Hii ID umefungua kwa kutafutia mchumba tu? Maana kweny ule uzi mwingine umesema ww ni member humu toka 2007 lkn ID hii imefunguliwa jana.

Mungu akupe hitaji la moyo wako
Nashukuru kwa comments zako nzuri....... yes I said I was a member Here some years back from hiyo 2007 the ddnt continue kwa muda mrefu tu na sijui ID yaangu ilifungwagwa. lkn kwa miaka mingi nipo humu jamii forum nikisoma kila uzi univutiaao lkn ka mgeni....sikuwa nikichangia wala kuanzisha nyuzi. Hata wewe siku ya kwanza umejoin humu nimekuona na kusoma post zako japo sikuwa kwenye position ya kukujibu kutokana na sababau tajwa.
Umeipata mkuu?
 
Back
Top Bottom