Natafuta mchumba mwaminifu na mwenye malengo kimaisha

Natafuta mchumba mwaminifu na mwenye malengo kimaisha

Mimi ni kijana above 35 mwenye elimu ya vyuo nina shughuli zangu halali za kuniingizia kipato cha kusustain maisha ya familia. Mwanamke ninaemtaka awe above 25 to 35 no problem. awe na elimu kiasi ya kutusaidia kujadili mambo yanayohitaji japo analysis kidogo kwa mustakabali wa future yetu. Mimi ni mkristo japo si limit dhehebu.

Kwa kweli narudia hili I need a very serious and committed lady. na siyo kwamba makubaliano yatafanyiki kimtandao tu... hapana... tunaweza onana ili upata nafasi ya kuni assess then from their you can make your decission.

Wishing you all the best
Wewe tafuta mchumba anayekuvutia. Umaninifu inategemeana na wewe katika mambo mawili... Jinsi unavyongurumisha mchezo kwa bed, jinsi unavyokuwa karibu na mkeo na pia jinisi unavyoyakimu mahitaji yake ya msingi na ya ziada...
Kila mwanamke ni mwaminifu anapopata anachokihitaji toka kwa mwanaume na pia kila mwanamke anaweza akakosa uaminifu pale anapokosa moja ya vitu anavyovitafuta toka kwa mume wake....
 
Back
Top Bottom