Natafuta mchumba mwaminifu na mwenye malengo kimaisha

Katafute kwenye mahoteli makubwa utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wengine sio member hapa au hata kama ni member pengine asingependa ujue ID yake so ni vyema ungeweka namba zako za simu plus email address ili iwe rahisi kuwasiliana. Believe me, unaweza kupata mke wa kukufaa kabisa hapa JF. Achana na hao wanaokwambia kwani wa mtaani huwaoni, inshort wanawake wa JF wanaishi pia mitaani. Muhimu ni kutumia ubongo wako vizuri wakati unafanya selection huku ukimshirikisha Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…