Natafuta mchumba (mwanamke)

Mwanangu bora pisi ya mtaani uione uisome ndio uanze nayo, huku kwenye mitandao ya kijamii utakutanishwa na mambo unaweza kuvaa chupi kichwani kwa kudata, ani hapa unaweza kutana na Mal@y@ hizo ukastarehe na maumivu!!
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hutaki aftano
hio elfu tano sio motisha, kimsingi nimefanya kosa kuweka huo ujumbe, japo muhimu kuondoa over expectations for the materials driven fanatics
 
Domo zege mtaani, kazini, vibanda umiza, kanisani, sokoni, barabarani.....huko kote hujaona mademu????

Kwa taarifa yako jf kuna wamama waliolewa,wake za watu ,single maza walioshindikana ,....
Kwani hawa wadada wa humu jf si ndio hao hao wa mtaani kwako? Acha kumkazia maisha mwenzako,yeye ameamua kuongea nao kwa pamoja
 
Waajiriwa wa serikali mna shida gani? Ukifa masikini utamlaumu nani?
 
Kwani hawa wadada wa humu jf si ndio hao hao wa mtaani kwako? Acha kumkazia maisha mwenzako,yeye ameamua kuongea nao kwa pamoja
huy mbaguzi yawezekana yeye aliokota mkewe au demu wake mtaani kwake, globalisation ni kama demokcatization of all life spheres. all in all ni antincipate aina hii ya watu nikawajumuisha kwenye wakosoaji, wanakejeli, wanamatusi, wana mzaha na wote wote
 
Kuna mwenzio amepigwa Ndoige ya "Afu 50" na binti ya Gongo la Mboto huko!!!
 
Waajiriwa wa serikali mna shida gani? Ukifa masikini utamlaumu nani?
nimeiweka hio ya ajira ili kuwakamata akili ngedere wa aina yako, wavamie yasiyo wahusu mnipe appetite ya pesa nizitumie vizuri
 
Eeh kwa Cv hii
Tufanye tu mishe zingine...
Aisee!!! Ukikoswa koswa kwenye Maumbile unapatwa kwenye Elimu, hujakaa sawa ohooo unaambiwa nyonyo lisilale , ukigeuka huku unaambiwa ooh kilometa zimesonga....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah nimecheka peke yangu mpaka majirani wananidisi hapa wanajua labda dishi limeyumba...
 
Unataka mwanamke mwenye busara wewe mwenyewe una uhuni ndani yako.
Kila la kheri
nilitahadharisha aina ya uwasilisho wangu, yapasa kuwa jema maana imekuleta hata wewe umeonesha potentiality za tress passing...karibu sana..thematic and territorial intrusion
 
nilitahadharisha aina ya uwasilisho wangu, yapasa kuwa jema maana imekuleta hata wewe umeonesha potentiality za tress passing...karibu sana..thematic and territorial intrusion
Ok
 
nimeiweka hio ya ajira ili kuwakamata akili ngedere wa aina yako, wavamie yasiyo wahusu mnipe appetite ya pesa nizitumie vizuri
Una pesa au vijisent? 4.5m per month haunizidi chochote maku
 
Domo zege mtaani, kazini, vibanda umiza, kanisani, sokoni, barabarani.....huko kote hujaona mademu????

Kwa taarifa yako jf kuna wamama waliolewa,wake za watu ,single maza walioshindikana ,....
Babiki wa pepe Gadiola usimkatishe tamaa ndugu yako hivo bhana.
 
Yaani hiyo haijarishi amechakata au hajachakata, mi nadhani mwamba amejitoa sana
natumia a lil bit ya econometrics kwenye hii need na motivational survey...life yapasa kuwa so real, hapo hajawahi inhouse kawaida sana..ni kama posho tu ya chipsi na vocha kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…