Natafuta mchumba Mwanamke

Natafuta mchumba Mwanamke

Nipo mbele yenu natafuta mwanamke ambaye yupo single ili tuweze kuwa wapenzi na hapo badae nimuoe nimechoka kuwa bachelor kwa muda mrefu nipo serious kwa mwanamke au mdada ambaye yupo tayari PM ipo wazi.
kuna dada anatafuta mchumba pia kaandia uzi wake, hebu mfuate mkayajenge, usitegemee mwanamke akafuate Pm
 
Huku jf huwezi pata mke wa maana sana sana utaishia pata wadada wachunaji, kwanza kabisa ukiwa unatafta mke jf, hata kama kiuhalisia uko serious na moyoni una nia njema, ukiwafata wadada wa huku wataona kuwa wewe ni muongo, na watakutreat kama muongo
 
Back
Top Bottom