Natafuta mchumba/ mwanamke

Natafuta mchumba/ mwanamke

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
333
Reaction score
689
Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga.

Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema wewe mmachinga unampa wasiwasi

Kwa nini usiandike tu, unafanya biashara (bila kuifafanua).... na kama hutaki mwanamme tegemezi utamjua tu. Binafsi napendelea mwanamke ambaye ni jembe...na akiwa Muislam na miaka above 30s the better
 
Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga.

Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema wewe mmachinga unampa wasiwasi

Kwa nini usiandike tu, unafanya biashara (bila kuifafanua).... na kama hutaki mwanamme tegemezi utamjua tu mapema. Binafsi napendelea mwanamke ambaye ni jembe...na akiwa na miaka above 30s the better
Umepata
 
Unataka mathna bibie
mathna ndio nini, Mke wa pili?
kama ni mke wa pili, natamani sana watu wakubali kuoa/olewa mke wa pili bale Dini inaporuhusu
Ili kupumguza watoto wa mitaani na single mothers
Mfano: ilionekana mwaka jana jijini Nairobi Single mother na watoto wa mitaani wapo kwa maelf hata wanashindwa kuwa manage ILA jiji kama Mombasa lenye waislam wengi, single mother na watoto wa mitaani ni wakutafuta. Na hii ipo hivyo hivyo kwa Nchi zenye waislam wengi.

Tukubali tusikubali; Wanaume ni wachache kuliko wanawake na ukichukulia wapo wanaume wengi tu ambao hawaoi/hawataoa
Tusipokubali/ruhusu kuoa/olewa mke wa pili, tutegemee janga la Umalaya kuongezeka, Magonjwa ya zinaa kuongezeka, single mother na watoto wa mitaani, Wizi/vibaka nk nk kuongezeka!
Uislam ulisha yaona hayo yote!
 
Tatizo hawana na hawajui uadulifu wanaoa sababu ya tamaa ya kutimiza haja zao za kimapenz
Mm naona mtu mchaMungu ni yule mwenye kusaidia yatima na wajane pamoja na nduguzake huyo hata akioa nakuwa naona ana Imani kidogo anaweza kuwa anaweza pia kufanyia uadulifu wake zake ila sio Hawa tulonao wao Sunna wanayoijua ni hiyo tu
 
Kama ni suala la uadilifu, nafikiri hao wa mke mmoja ndio majanga zaidi kuliko walio oa wake wengi na ndio sababu; watoto wa mitaani wamejaa mijini bila kusahau single mothers.
Siku hizi kuona wadada wanalea mtoto bila baba ni kama fasheni....

Matokeo ya haya huko mbeleni ni mabaya zaidi kwani TUNATENGENEZA KIZAZI kisicho jua umuhimu wa Ndoa (Kizazi cha kataa ndoa). Natamani wanawake waone fahari kuolewa.....hata kama mke wa pili ili mradi muoaji awe anajiweza
 
Back
Top Bottom