Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga.
Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong ambaye pengine anaweza kusimamia au akiongezewa Nguvu kiasi ataweza kuchanja mbuga, sasa ukisha sema wewe mmachinga unampa wasiwasi
Kwa nini usiandike tu, unafanya biashara (bila kuifafanua).... na kama hutaki mwanamme tegemezi utamjua tu. Binafsi napendelea mwanamke ambaye ni jembe...na akiwa Muislam na miaka above 30s the better